Tumeshajua
nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za
kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze
kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea kusimama wakati wa
tendo la ndoa.
Ni
vyema tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa
uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la ndoa pamoja na mambo yanayo
fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.
Yafuatayo ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
1. MAGONJWA YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.
Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama msumari.
Damu ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu ndio nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja.
Hivyo
basi ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa
na uwezo wa kumudu na kustahimili tendo la ndoa wakati
wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo imara wa damu
utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu
mbalimbali za mwili ikiwamo uume.
Ili
mfumo uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya
kutosha, na pili awe na mishipa ya damu yenye afya.
Katika
mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu
kutoka katika sehemu moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine
ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile vena (veins),
atery ( ateri) na capillary ( kapilari )
Mishipa
hii ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati
wote. Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia
kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili wa
mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume
kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu
kwenye mishipa ya uume.
Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo, ubongo na figo.
VIASHIRIA VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:
1. Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol
nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol
ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo
kazi yake ni kupeleka damu kwenye uume. Matokeo yake ni
mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara kwa
sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya
mishipa ya uume.
Hivyo
basi pamoja na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu
kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu kwa kutumia
dawa mbali za asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc.
Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa asilia tafadhali
tembelea
2. Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo
Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha
damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa
kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na
hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo
mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo
kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume,
kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume
ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya
kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja
na kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa
asilia kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :
3. Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa
wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na
kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu
pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama
vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli,
mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na
tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango
kikubwa sana.
Unashauriwa
pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na
dawa mbalimbali za asili kwa ajili ya kubalance sukari yako
mwilini.
Zipo
dawa mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha
sukari mwilini. Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu,
mbegu za uwatu, manjano, majani ya manjano,mbegu za katani,
nakadhalika.
Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la sukari, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa ya figo
Tatizo
la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana
katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika
kusimama.
Tatizo
la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda
kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva
pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo.
Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5. Ugonjwa wa moyo
Moyo
ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za
mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu
kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji
kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena.
Matokeo
yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha
katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume
kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume.
Hivyo
basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu
tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa
moyo kwa dawa asilia, tembelea :
6. Kupwaya kwa mishipa ya vena.
Kazi
kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo
ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine
za mwili.
Mishipa
ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni
kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume. ( KUMBUKA
KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE
KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME ,
KITAFANYA UUME USINYAE )
Ili
uume uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na
uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka
nje ya mishipa ya uume.
Na
ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye
sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara
na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.
Mishipa
ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha
uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama
ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa
sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya
usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje
ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.
Tatizo
la kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga
punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.
KUPIGA PUNYETO KWA MUDA MREFU:
Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu
vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa
ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,
linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
(
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina
relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka
na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye
kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii.Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.
Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia
kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani
ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa
presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi
utasimama ukiwa legelege sana
iv.Mishipa
ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush
na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu
kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume
kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani
ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya
muda mfupi sana.
v. Mishipa ya uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto
6. Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo
la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo
sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi
humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile
kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu.
Na
magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu
husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo
kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo
basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi ,
pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya
na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
JINSI YA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
No comments:
Post a Comment